GET /api/v0.1/hansard/entries/1499906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1499906,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499906/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Swali langu la pili, katika takwimu Bi. Waziri ameleta siku ya leo, kuna vijiji 5,260 vya ukoloni. Waswahili husema, “mgala muue na haki yake umpe.” Toka zile vijiji za ukoloni mpaka wa leo, wale watu hawana hati miliki ila Bi. Waziri amesema ashapeana takwimu kwa Serikali la Gatuzi la Kirinyaga waanzishe mpango rasmi wa kupeana hati miliki. Mimi mwenyewe niko na kijiji niliachiwa na babu yangu na hakina hati miliki. Huenda nikafa kama sina hati miliki kwa miaka hiyo yote. Ningetaka kuja, hizi hati miliki zitapeanwa lini."
}