GET /api/v0.1/hansard/entries/1499916/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499916,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499916/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nimemsikia Bi. Waziri kwa kauli yake akisema kwamba yuko na changamoto ya pesa. Ningependa atueleze katika Gatuzi ya Mombasa pengine ni maeneo gani anapanda kuwapa hati miliki. Kumekuwa na matatizo ya kwamba hata baada ya malamishi kusikizwa na tume husika NLC, baadaye kunatokea watu wengine, wanapeleka kesi kortini na wale ambao washapangiwa kupewa vile vipande vya ardhi wanashtakiwa na kunyanyaswa katika korti zetu. Naomba atupatie mwelekeo ni jinsi gani tutaweza kupambana na masuala kama haya pindi yanapoibuka. Asante."
}