GET /api/v0.1/hansard/entries/1499931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1499931,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499931/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Tafadhali Bw. Spika wa Muda, kwa heshima na taathima, swali hili linanihusu mimi sana. Watu wangu wametupwa na wengine wanashikwa na polisi. Kila siku mimi niko katika polisi station kuwatetea watu wangu ili waachiliwe huru. Wanashikwa kwa sababu maeneo yao yamechukuliwa na waegezaji. Ndipo ninataka Waziri, kwa sababu yuko hapa leo aeleze kinaga ubaga, je ni hatua gani ambayo Wizara yake imechukua kutetea maskwota, sio Kilifi tu bali Kenya nzima. Wanateteaje maskwota iwapo maendeleo yaje na maskwota wajue kuwa wako na haki zao."
}