GET /api/v0.1/hansard/entries/1499944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1499944,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1499944/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika. Ningependelea kuona Land Control Board ya Kilifi imechunguzwa. Imejitumbukiza kwenye hali ya ufisadi. Karatasi zinatolewa mashinani na ndio sababu hawa maskota wanafurushwa. Pia polisi wanatumiwa vibaya kufurusha watu kutoka maeneo yao. Uchunguzi ufanywe katika Land Control Board ya Kilifi kama ulivyopendekeza uchunguzi ufanywe Land Control Board ya Ngong. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}