GET /api/v0.1/hansard/entries/1501970/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1501970,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1501970/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. mimi ni naibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo na Seneta Maanzo ako pia hapo. Anadanganya Kenya nzima kwa sababu wakati tulikuwa tunafanya upelelezi, Waziri wa Kilimo alitimuliwa. Kama alitimuliwa, hakuna kitu kingine tungefanya. Ningependa kusema kitu kingine na kulipua Seneta Maanzo. Ninakumbuka alienda kwa Waziri wa Kilimo."
}