GET /api/v0.1/hansard/entries/1501976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1501976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1501976/?format=api",
    "text_counter": 178,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Heshima lazima tuiweke mbele, tusiketi hapa na kuanza kusema maneno ambayo baadaye yataleta kashfa, nikizingatia kwamba, ndugu yangu Sen. Maanzo kila asubuhi yuko kwenye maruninga. Kwa hivyo, itakua si heshima kwa jina lake kuharibiwa namna hiyo. Nataka kuuliza tu, alisema kwamba anataka kutoboa siri kuwa Sen. Maanzo alienda kumuona Waziri. Ana maanisha nini? Je, anaweza kufafanua?"
}