GET /api/v0.1/hansard/entries/1501978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1501978,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1501978/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, nilikuwa Naibu wa Mwenyikiti wa Kamati ya Kilimo. Bunge lilipitisha suala hili na karibu Waziri afutwe kazi. Kila wakati nikiwa Mwenyekiti, Sen. Maanzo alikuwa anataka twende tukakutane na Waziri lakini nikamwambia haiwezekani. Kwa mafikira yangu, Sen. Maanzo alienda kumuona."
}