GET /api/v0.1/hansard/entries/1502301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502301,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502301/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "wake wanaishi vizuri kule Homa Bay. Alitaka watu wake waishi vizuri kabisa. Jambo hilo laoana na mawazo ya Mheshimiwa Bensuda na yale ambayo Mheshimiwa Rais William Samoei Ruto aliyasema. Ninakushukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ya kuchangia Hotuba ya Rais. La zaidi, Rais alinifurahisha alipoitupilia mbali ile kandarasi ya Adani ya viwanja vya ndege na Kenya Electricity Transmission Company Limited (KETRACO). Mheshimiwa Rais alijizatiti, kujiweka kifua mbele na kusimama wima ili achukue hatua ngumu ya kusikiza sauti za Wakenya. Kwa hayo, ninamshukuru Mhe. Naibu Spika wa Muda, Farah Maalim, ambaye ni kiongozi na mentor wetu tunayemheshimu, kwa kunipatia…"
}