GET /api/v0.1/hansard/entries/1502342/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502342,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502342/?format=api",
    "text_counter": 259,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Agnes Mantaine",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Rais pia alizumgumzia suala la usalama. Tunaona Serikali yetu inajitolea kuhakikisha kuna usalama. Lakini kidogo sisi akina mama tunahofia maisha yetu. Hii ni kwa sababu kila mara tunasikia mama, msichana ama nyanya ameuawa. Hatujawahi kupata kiini cha mauaji hayo. Inatuweka huzuni na hofu. Ninawashukuru viongozi wamama ambao walienda ikulu naye Rais akawaahidi atatoa Ksh100 milioni kuhakikisha usalama wa wamama uwepo."
}