GET /api/v0.1/hansard/entries/1502343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502343,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502343/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Agnes Mantaine",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa upande wa chakula, mwaka uliopita, kulikuwa na kilio kikubwa sana kuhusu bei ya chakula, lakini Rais akatuelezea kwamba hatatupa chakula directly. Aliweza kuteremusha bei ya fertiliser na sasa kila mtu ana chakula kwake. Sasa tunaelekea kununua unga kwa Ksh100 kwa pakiti. Hofu yangu ni kwamba kuna barabara za Kenya Rural Roads Authority (KeRRA) ambazo hatujasikia zikizungumziwa kikamilifu. Hizi barabara zinatuhusu sisi Wabunge wa maeneo ya bunge. Barabara hizi ndizo zinatumika kupitisha chakula tukipeleka soko. Wakulima wakikosa barabara za kutumia kupeleka chakula sokoni, watakua na shida na"
}