GET /api/v0.1/hansard/entries/1502345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502345,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502345/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Agnes Mantaine",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "hata hawataona faida ya kilimo chao. Hata kusomesha watoto wao itakuwa ni shida. Kwa hivyo, ninaomba Serikali ihakikishe tumepata pesa kwa maeneo yetu ya bunge ili tuhakikishe barabara zinazotengenezwa na KeRRA ziwe nzuri ili watu waweze kusafirisha chakula chao."
}