GET /api/v0.1/hansard/entries/1502460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502460,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502460/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "(CBC). Tulilalamika hapa Bungeni kuwa hakuna madarasa lakini wikendi hii, naenda Mombasa kuweka mawe ya misingi katika shule ambazo zimetengwa katika mradi uliowekwa na Rais kuongeza madarasa ya CBC, ili watoto wetu wa"
}