GET /api/v0.1/hansard/entries/1502466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502466,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502466/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Nataka kumpongeza Rais kwa juhudi ambazo amefanya kutupatia Waziri ambaye ni mchapa kazi, kama alivyosema mwenzangu. Wamekuja na kutupiga jeki na tunaona matunda kwa sababu ya uwiano. Nataka niwaambie Wakenya kuwa tumuombee Rais dua ili atupeleke katika njia sawa. Vitabu vimeandikwa kuwa tuwaheshimu viongozi. Tumuombe Mungu atuelekeze katika njia sawa. Nilikuwa mmoja wa wale waliokuwa wakimchapa fimbo Rais lakini, kwa hayo ambayo amefanya, nitakuwa mbele miongoni mwa wale wanaomuombea dua na watakaompa support ili aweze kuongoza taifa letu ili tuzidi kuona matunda. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}