GET /api/v0.1/hansard/entries/1502503/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502503,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502503/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Rais alizungumza juu ya Gender-based violence (GBV). Naona Permanent Secretary na Inspector-General wamesimama kidete. Nawatahadharisha wanawake kuwa hii dunia imekuwa mbaya. Tunaona wakiwaamini watu na wanapoenda makwao, mambo yanaharibika baadaye. Hii Serikali ni ya broad-based Cabinet. Imewakilisha wengine …"
}