GET /api/v0.1/hansard/entries/1502544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502544,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502544/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "Tukienda kwa upande wa chakula, bei za chakula zimeshuka. Unga zamani ilikuwa inanunuliwa kwa Ksh160. Mhe Rais alisema ukweli kuwa bei ya unga imeshuka lakini shida iliyoko ni kwamba uchumi wa taifa unaimarika ikiwa pesa imeingia katika mifuko ya wananchi. Ikiwa wananchi wana fedha, basi uchumi huwa mzuri. Lakini kama mwananchi hana fedha, uchumi utakuwa wa kuzungumziwa tu. Mwananchi hatakuwa na faida."
}