GET /api/v0.1/hansard/entries/1502688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502688/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika wa Muda, ndugu yangu anayetoa maoni yake kuhusu ripoti yetu ya Kamati ya Usuluhishi amesema kwamba pengine mwenzetu haelewi lugha ya Kiingereza anayoitumia. Namuuliza, je, ni haki kwamba hasemi kwa uwazi? Sen. Munyi Mundigi hujiita daktari. Kama daktari anafahamu lugha ya Kiingereza sana. Nishamsikia akiongea lugha ya Kiingereza. Je, ni haki ndugu yangu ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Barabara na Usafiri kusema kwamba Sen. Mundigi ana upungufu wa kufahamu lugha ya Kiingereza? Asante, Bw. Spika wa Muda."
}