GET /api/v0.1/hansard/entries/1502700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502700,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502700/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ingawa hata hizi pesa hazitoshi, naomba magavana kuwa hizi pesa zitakapokuja mashinani, wajaribu sana pesa nyingi ziende katika agriculture kwa sababu hiyo ndio key ya serilaki na mwananchi na ndiyo kila kitu katika Kenya yetu. Ili agriculture iweze kufanya vizuri, ningeomba kila ward iwe na agricultural"
}