GET /api/v0.1/hansard/entries/1502704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502704,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502704/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kutokuwa na agricultural officers. Vile vile, kuna changamoto ya mmomonyoko wa udongo ambapo mchanga unabebwa na maji. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, ningeomba hizi hela zikienda mashinani, kwanza magavana wajaribu kila CountyGovernor aajiri extension officers na pia azingatie mambo ya afya ndio watu wetu wasiwe wagonjwa kwa sababu shida iliyoko mashinani ni ya agriculture na afya. Tatu, wanapswa kuangalia hali ya barabara. Ingawa magavana hawawezi kutengeza barabara kubwa lakini wangejaribu kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara kuwawezesha wakulima kusafirisha mazao yao kwa njia inayofaa. Bw. Spika wa Muda, mambo ya agriculture ina shida sana. Kwa mfano, katika"
}