GET /api/v0.1/hansard/entries/1502706/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502706,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502706/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": ", kilimo chetu ni cha majani chai, kahawa, macadamia, maziwa, maembe, miraa na muguka. Ningependa County ya Embu ipate pesa na ipeleke mashinani ili wananchi wapate kilimo vile inafaa.Vile vile, wanafaa watengenezewe water pans ili wajisaidie na zile pesa ya agriculture. Pia, kwa upande wa agriculture, kwa sababu hizi pesa hazitoshi, serikali kuu inafaa kuangalia mahitaji ya counties. Kila kunti itengenezewe dam kubwa. Kwa mfano, katika Embu County, tunajua wametuahidi watatungenezea Kamumu Dam ambayo itasaidia Mbeere North na Thambana Dam ambayo itasaidia Mbeere South na Manyatta. Ningeomba pia pesa ambazo zimebaki serikali kuu juu ya kuinua kilimo, watengenezee watu wa Embu County dam ili kilimo ya Embu County na economy imairike. Tukifanya hivyo, watu watafanya kazi inayofaa na tutapata mazao mazuri na pia economy ya Embu County juu ya ushuru itaenda juu na serikali ya Kenya--- Ningeomba pia serikali kuu itusaidie wakati tunapata mazao. Wakati mwingine, tunalima sana lakini huenda ikawa hakuna mahali tutaweza kuuza mazao yetu. Serikali itusaidie kutafuta soko hata kama ni za ng’ambo ili tupate mahali tutakapouza mazao yetu kama vile miraa au muguka. Jambo lingene ningeomba serikali ya county ni kuhusu mambo ya afya. Pesa nyiingi zinafaa kuenda kwa hospitali zetu za counties haswa tunajua health promoters wanafanya kazi nzuri. Nakumbuka katika ile budget iliyoanguka tulikuwa tumeongeza pesa lakini tulisikia karibu wakose kulipwa mishahara. Hili ni jambo la aibu sana kwa sababu Serikali ya Kenya Kwanza ilipoingia iliangalia watu hawa. Kwa kipindi ya miaka mingi, hawakuwa wanalipwa lakini sasa wakasema serikali kuu itatoa 50 per cent na"
}