GET /api/v0.1/hansard/entries/1502708/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502708,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502708/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": ", na tutafurahi sana. Kwa hivyo, ningeomba magavana wafuatilie hao watu kwa sababu wako mashinani, eti mtoto akizaliwa wameanza kuchukua ripoti zao na akina mama wazee walioko nyumbani, ili miaka ijayo kuwe na mipangilio ya magonjwa yote ya binadamu. Kwa hivyo, naunga mkono Ripoti hii. Kwa upande wa hospitali, hizi pesa hazitoshi. Ningeomba serikali kuu isaidie serikali za kaunti ili hospitali kubwa zipate madawa na kutengenezwa ziwe Level 4 na"
}