GET /api/v0.1/hansard/entries/1502711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502711/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kuna watu wanaolipwa na mishahara na county na pia kuna madaktari ambao wanalipwa na national Government . Naomba n ational Government ipeleke pesa zilizosalia mashinani. Jambo lingine ambalo litawezakusaida kaunti zetu ni kuwa kila kaunti kuna pesa ambazo zimetoka nchi za ng’ambo ili kusaidia upandaji wa miti juu ya climate change ."
}