GET /api/v0.1/hansard/entries/1502713/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502713,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502713/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "na n ational Government wanafaa waungane pamoja ili tuweze kupanda miti ili dams tutakazotengeneza zisikauke, na tuendelee kupata mvua na mazao yetu yaongezeke na tutengeneze economy yetu. Tukiendela hivyo, nchi ya Kenya, kwa upande wa kilimo, afya na barabara tutaweza kuinuka. Ningependa kukosoa watu wanaopinga Ripoti hii na kuwafahamisha kuwa, si kumaanisha kuwa sijui mambo ya Kingereza ama Kiswahili. Nafahamu vizuri Ripoti hii inaongea kuhusu mambo ya kaunti na hakuna mahali President ameingilia kwa hela zinazotengewa county government . Nilimaanisha kuwa Seneta wetu alikuwa na msemo na kipindi cha Member of Parliaments (MPs) ndio waweze kupitisha. President hajakataa kupitisha hela tunazopitisha. Sisi tumepatiwa kazi na mwananchi tuweze kutetea"
}