GET /api/v0.1/hansard/entries/1502716/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502716,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502716/?format=api",
    "text_counter": 148,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninaomba Waziri wa Fedha na wale wanaofanya huko wapatie kaunti zetu pesa kila mwezi ili devolution ifike mashinani ili tuweze kuona vile Serikali ya Kenya Kwanza inasema pesa mkononi. Mimi kama Seneta wa Kaunti ya Embu, ninaunga mkono na mimi ni daktari Alexander Munyi Mundigi."
}