GET /api/v0.1/hansard/entries/1502753/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1502753,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502753/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13592,
        "legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
        "slug": "onyonka-richard-momoima"
    },
    "content": "na development budgets. Magavana wanafunga watu hao wasilipwe, halafu wanaleta kampuni ambazo wanataka. Wanaleta watu wanaojua na jamaa wao kupewa kandarasi na kuwalipa na kuacha waliofanya kazi miaka mitatu, minne au mitano iliyopita. Shida iliyo Kenya ni hiyo. Kuna maendeleo ambayo tunazungumzia. Katiba yetu ya 2010 ilinuia kuleta usawa katika nchi yetu. Ilinuia kuondoa ufisadi katika maendeleo ya Wakenya, ili tuweze kumaliza umaskini nchini mwetu. Kwa sasa, Serikali ya Kitaifa inachukua asilimia 85 na kupora na kuwapa magava asilimia 15 iliyosalia ambayo pia wanapora. Jiulize ni kina nani wana majumba makubwa kule Kilimani. Magavana wengine wanadhani kuwa wananchi ni wajinga. Wanaiba pesa na kujenga supermarkets, huku wananchi wanawaona. Si vibaya wananchi kujua majengo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}