GET /api/v0.1/hansard/entries/1502756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1502756,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502756/?format=api",
"text_counter": 188,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13592,
"legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
"slug": "onyonka-richard-momoima"
},
"content": "kutoka kwa hospitali ndogo ndogo na kubwa kubwa kwa sababu wananchi hawana njia nyingine. Gavana wa Murang’a amefanya kazi nzuri. Anatumia teknolojia kukusanya ushuru kutoka kwa wale ambao wanajenga ama wana nyumba na wale ambao wana-park magari huko. Aliongeza mapato yake kutoka shilingi milioni 200 mwaka uliopita hadi shilingi bilioni 1.5. Sababu ni kuwa wale walio katika kamati ya maendeleo ni vigogo ambao wamekuwa wakifanya biashara kama vile mmiliki wa Benki ya Equity. Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii."
}