GET /api/v0.1/hansard/entries/1503609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1503609,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1503609/?format=api",
"text_counter": 121,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Sioni haja ya kutoa matamshi yangu kwa sababu Mheshimiwa Osoro amezungumza vizuri kwamba iangaliwe kwa pamoja. Na ukiangalia kwa pamoja, ikiwa tutaendelea kukagua wale ambao wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali, ni ukweli kwamba eneo la Pwani mara nyingi, na kwa kawaida, huwa halipo. Huo ndiyo ukweli. Ahsante."
}