GET /api/v0.1/hansard/entries/1503670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1503670,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1503670/?format=api",
"text_counter": 182,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Nataka niafikiane na wenzangu katika Hoja hii. Nawaunga mkono wale waliochaguliwa. Kusema kweli, Mhe. Jaldesa atakuwa katika mstari wa mbele kwa sababu tunamjua. Alipokuwa WomanRepresentative, alifanya bidii sana katika kuzingatia mambo ya wanawake. Kwa hivyo, anajua kile kinachotakikana. Nataka kuwaomba wale waliochaguliwa wasikae tu kwa ma -boardroom . Watembee. Watuonyeshe kuwa watahakikisha wanawake wamechaguliwa zaidi kama"
}