GET /api/v0.1/hansard/entries/1503678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1503678,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1503678/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "akiwatetea wanawake. Imesemekana kuwa ni uongo na mtu huyo hakusema matusi hayo. Basi mtu huyo angejitokeza na kusema kuwa maneno hayo hayakuwa yake na ni propaganda tu . Lakini propaganda hiyo inayowalenga wanawake ikiendelea, mtatufanya tuzungumze ilhali hatutaki kuzungumza. Kila mtu ana maumbile yake. Ikiwa mwanamke anaweza kuyatumia, hata mwanaume anaweza kuyatumia. Nikisema kile ninachotaka kusema, mtasema ninaongea vibaya. Lakini ni kwa nini mwanamke haambiwi maneno hayo mpaka aamue kusimama kuwa kiongozi? Akiwa daktari, hamna shida."
}