GET /api/v0.1/hansard/entries/1503687/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1503687,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1503687/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ikiwa mwanamke ni daktari, pilot ama any other professional, hatusiwi vile ambavyo viongozi wanawake wanatusiwa. Lakini ukiwa kiongozi mwanamke, ni lazima utusiwe. Tunahisi uchungu. Sisi pia ni wazazi na wake wa watu. Sio haki ikiwa mtu kila anaposimama anatutusi tu. Itabidi tushirikiane tuunde sheria ili mtu akifanya hivyo, awekwe ndani."
}