GET /api/v0.1/hansard/entries/1503786/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1503786,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1503786/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": "lihakikishe majukumu yao ni machache, na hayaingiliani na tume zingine. Tukifanya hivyo, tatizo la fedha litapungua. Naunga mkono Hoja hii. Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ya kuchangia."
}