GET /api/v0.1/hansard/entries/1504309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1504309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1504309/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Kwa yote, ningependa kumshukuru Mhe. Spika. Umekua Mwenyekiti ambaye ametushikilia mikono. Hao Wabunge wanaweza kujisemea. Tunapokuja kwako kwa minajili ya mambo kadha wa kadha, umekuwa kama baba. Tunakuombea Mungu azidi kukubariki. Hicho kiti ni chako, na uzidi kubarikiwa. Asante sana, Mhe. Spika."
}