GET /api/v0.1/hansard/entries/1505487/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1505487,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1505487/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii, pia niongeze kauli yangu kuunga mkono Ripoti ya uwiano kuhusiana na sheria ya ugawaji wa pesa. Mhe. Naibu Spika, hii ni mara ya pili tumeleta Ripoti ya uwiano kuhusu maswala ya sheria ya ugawaji wa pesa kati ya Serikali Kuu na Serikali za County. Hapo awali, tulileta uwiano ambapo tulikubaliana kwamba pesa ambazo zinastahili kwenda kwa county ni Shilingi 400.1 bilioni. Ripoti pia imesema kuwa tumekubaliana kwamba Shilingi 387 bilioni, ziende katika kaunti zetu. Hii ilitoka kwa sababu Mswada wa Fedha mwaka wa---"
}