GET /api/v0.1/hansard/entries/1505494/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1505494,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1505494/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Mhe. Naibu Spika. Lamu ilikuwa inachemka hapa. Kwa hivyo, pesa zimepunguzwa tena mpaka Shilingi 387 bilioni, kwa sababu ya kuondolewa kwa mswada wa fedha wa mwaka 2024 kutokana na maandamano ya Gen Z na mambo mengine. Mhe. Naibu Spika, la msingi ni kuwa, ni lazima kaunti zetu zijue kwamba fedha kutoka kwa serikali zinapungua. Ijapokua fedha zinaongezeka kwa kiwango, kwa mfano, mwaka huu tumeongeza Shilingi 2 bilioni, lakini tukiangalia katika maswala ya asilimia, zile pesa ambazo zilitoka katika Serikali Kuu kuja kwa kaunti mwaka 2013 mpaka sasa zinateremka chini. Hii ya sasa ni asilimia 13 ama 15 ya zile pesa ambazo zilitolewa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}