GET /api/v0.1/hansard/entries/1505495/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1505495,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1505495/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa hivo, Mhe. Naibu Spika, ipo haja ya kaunti zetu kujaribu kuingia mifukoni wakusanye pesa ambazo wanatarajiwa kukusanya. Kama ni maswala ya kuleta mifumo ya kiteknolojia ya kukusanya pesa ifanyike hivyo ili pesa zinazokusanywa kutoka kwa kaunti ziwe zinajulikana na vile vile zitumike kwa matumizi ambayo yatasaidia maendeleo katika kaunti zetu. Haiwezekani mpaka sasa county zingine zinakusanya pesa kwa mkono. Mtu anatoka asubuhi na vitabu kumi akiregesha labda ni vitabu viwili na pesa ambazo amekusanya hazijulikani na wala hazifanyiwi hesabu na haziingii katika hesabu ya"
}