GET /api/v0.1/hansard/entries/1505668/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1505668,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1505668/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Naomba unipe dakika tatu ili nishukuru wale Maseneta ambao wameunga mabadiliko ambayo yameletwa katika Mswada huu wa pamba. Pili, ni kuwa pamba ni mmea muhimu sana kwa sababu inakuwa malighafi ya chakula cha wanyama na mafuta. Sen. M. Kajwang' ambaye pia ni mmoja wa walio The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}