GET /api/v0.1/hansard/entries/1505669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1505669,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1505669/?format=api",
    "text_counter": 285,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "katika Kamati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi tulipata kuzuru Kaunti ya Kitui na kupata ya kwamba mafuta yanayotolewa katika mbegu za pamba yanatumika kutengeneza nguvu za umeme ya kutumia kwa generator zao na pia yanatumika kwenye gari zao. Sen. M. Kajwang' ndiye mwenyekiti wa Kamati inayohusika na mabadiliko ya tabia nchini. Kwa hivyo, hilo ni jambo nzuri sana tukiweza kuipata. Pamba sio nguo pekee ila ni malighafi ya vitu vingine vingi. Bw. Spika wa Muda, kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Seneti No.66(3), naomba swali la Mswada huu liahirishwe hadi siku nyingi. Asante."
}