GET /api/v0.1/hansard/entries/1505924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1505924,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1505924/?format=api",
    "text_counter": 250,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Ninaunga mkono mabadiliko ambayo mstahiki Mwenyekiti wa Kamati anapendekeza. Kwa wakati wowote ambao unapeana wizara nafasi ambayo haijulikani mwanzo na mwisho ni lini, basi kawaida hao huchukua muda wao wakutekeleza na kuhakikisha hili jambo halifanyiki kwa muda unaofaa."
}