GET /api/v0.1/hansard/entries/1506442/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1506442,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1506442/?format=api",
    "text_counter": 213,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Naunga mkono Waheshimiwa wenzangu ambao wamesema kweli, ya kuwa Wajumbe hawana nafasi ya kujifanyia kazi zao. Itakuwa vibaya sana wakati umekuwa Mbunge, halafu ukirudi nyumbani, hata hakuna mtu anakupigia simu wala kusikia shida zako. Hata ukiita mkutano wa harambee ya hospitali, hakuna mtu atakuja kukusaidia. Kwa hivyo, naunga mkono kwa sababu huu ni Mswada utakaotuweka katika kiwango kizuri kama Mjumbe. Jambo hili litahakikisha kwamba hautakuwa ukizunguka kule nyumbani kuomba omba pesa za kujisaidia kwa mambo ya hospitali na mambo mengine. Kwa hayo machache, Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono. Asante sana."
}