GET /api/v0.1/hansard/entries/1506477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1506477,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1506477/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili niunge mkono Hoja ya Mheshimiwa wa Matuga, rafiki yangu, Mhe. Tandaza, kuhusu mti wa Bixa . Tunauita mti huo mrangi katika lugha ya Kiswahili. Ameeleza vizuri kuwa mti wa Bixa uwe commercialised ama ufanywe kuwa cash crop, kwa sababu unaleta manufaa mengi kwa jamii. Mti huo unakuzwa pande za Mombasa, Kilifi, Kwale, Lamu na Pwani kwa ujumla."
}