GET /api/v0.1/hansard/entries/1506883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1506883,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1506883/?format=api",
"text_counter": 387,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "(CBC), ikilenga watu kuwa wabunifu. Ndio maana huu Mswada unakuwa wa maana sana wakati huu. Nafikiri hii ni kwa sababu Serikali iliona upungufu katika mfumo wa elimu tuliokuwa nao. Ni wakati watoto wetu walio shule wajifikirie na kubuni mbinu za kimaisha."
}