GET /api/v0.1/hansard/entries/1506888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1506888,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1506888/?format=api",
    "text_counter": 392,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": "Naunga mkono Mswada huu. Ni lengo kuu kwetu sote kutambua kuwa tukienda mbele, vijana watanawiri na kuheshimika, endapo tutawaunga mkono katika yale mafikira yao tofauti tofauti, na kuwapatia vitengo kama vile ambavyo Mswada huu umetekeleza ili Kenya izidi kuendelea mbele. Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada huu."
}