GET /api/v0.1/hansard/entries/1507069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1507069,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507069/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Ni vizuri viongozi kutoka Meru, Embu na mahali muguka inakuzwa kukaa na vitengo vya usalama na polisi wa trafiki wanaokaa katika zile barabara ili tupunguze hasara kubwa za ajali zinazosababishwa na gari za miraa. Mimi ni mkereketwa mkubwa wa kuunga mkono ukulima sanasana wa miraa. Lakini tunaona kuna hasara na vilio na vizuri tuangalie mambo hayo pia."
}