GET /api/v0.1/hansard/entries/1507075/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1507075,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507075/?format=api",
"text_counter": 123,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kamati hizi zinastahili kusisitiza umuhimu na mbinu za kuwasaidia wakulima hawa ili pia wajivunie manufaa ya mazao yao. Serikali imewezesha kaunti zote tatu ziwe na kilimo cha miraa. Kwa hivyo, Wizara ya Kilimo na Mifugo inafaa kutekeleza ujenzi wa dams ili wakati wa kiangazi mimea hii ipate maji ya kutosha na uchumi wa kaunti zetu zote zitaendelea vizuri."
}