GET /api/v0.1/hansard/entries/1507077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1507077,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507077/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Naunga mkono pia, Statement iliyosomwa na Sen. Faki kuhusu pensheni. Watu wengi wameumia sana. Mtu wa miaka 20 anapofanya kazi miaka 40 na kustaafu akiwa na miaka 60 anapata ugumu wa kusaidia jamii yake ama kufanya kazi yeyote. Baada ya kustaafu anakawia miaka miwili ili apate pensheni yake. Ningependa sekta zote katika nchi hii zitazame mfano wa kampuni ya kutengeneza umeme KenGen. Ukienda retirement, chini ya miezi miwili, unapata pensheni yako."
}