GET /api/v0.1/hansard/entries/1507078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1507078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507078/?format=api",
    "text_counter": 126,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Wafanyikazi wa New-Kenya Co-operative Creameries (KCC) pia wameumia na Kamati ya Labour and Social Protection iko na kesi hii. Unapata watu waliostaafu miaka mingi wanawadai Shilingi 800 milioni ambazo hawajalipwa. Mwalimu anapostaafu baada ya kufanya kazi miaka 60 anangojea miaka mingine miwili kabla ya kulipwa."
}