GET /api/v0.1/hansard/entries/1507090/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1507090,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507090/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chimera",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ile kamati ambayo itatwikwa jukumu la kuchunguza kisa hiki ifanye kazi yake vyema. Ningependa pia kuhimiza wizara ya masuala ya ardhi wahakikishe wamefanya mbinu haraka iwezekanavyo ili wapimie wananchi wetu ambao wako kwenye group ranches. Kaunti ya Kwale kuna group ranch inayoitwa Mabeja na kuna watu ambao wamefurushwa katika Mwamdudu Group Ranch eneo la Bonje. Nahimiza Serikali ifanye The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}