GET /api/v0.1/hansard/entries/1507115/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1507115,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507115/?format=api",
"text_counter": 163,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ni lazima pia tumpe kongole kwa uamuzi huo ama jukumu hilo ambalo alichukua yeye binafsi kupendekeza kwa mkurugenzi wa Benki Kuu wakati huo, kuandisha Mpesa kama njia moja ya kutuma pesa. Mpesa imeweza kusambaa ulimwengu mzima hivi sasa. Kila sehemu matumizi ya pesa kwa njia ya Dijitali yanazidi kukua. Kuna mambo mengi mapya ambayo yanahitajika kuingia kwenye mfumo wetu wa fedha. Haya yote, tuna imani kwamba Bw. Nyaoma atasaidia pakubwa kuhakikisha kwamba hizi mbinu za biashara na fedha kama"
}