GET /api/v0.1/hansard/entries/1507117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1507117,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1507117/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "zitatumika ili kupanua uchumi wetu. Soko la fedha likipanuka ina maana kwamba uchumi wetu pia utapanuka na itakuwa ni faida kwa Wakenya ambao wanastahili kupata huduma hizi ambazo ziko sehemu nyingi za ulimwengu. Vilevile Wakenya waweze kuzitumia waone kwamba fedha zao zinakua. Kwa hayo mengi, naunga mkono ripoti hii."
}