GET /api/v0.1/hansard/entries/1509277/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1509277,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1509277/?format=api",
"text_counter": 907,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Hoja ya Kiongozi wa Wengi kuhusu kuahirishwa kwa Bunge hili kwa msimu wa Krisimasi na Mwaka Mpya. Ni kweli kwamba tumefanya kazi nyingi mwaka huu na kulikuwa na mambo mengi ikiwamo mzozo wa Generation Z waliongia katika Bunge letu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}