GET /api/v0.1/hansard/entries/1509289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1509289,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1509289/?format=api",
"text_counter": 919,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nami pia naunga mkono yaliyosemwa na Kiongozi wa Wengi. Mwaka ujao, naomba tuwe na mkutano wa magavana, Maseneta na maafisa wa Hazina ya Kitaifa tusemezane ili kuona jinsi tutabadilisha uchumi wa kaunti zetu. Pesa wanazopewa magavana wanafaa kuzitumia kwa njia inayofaa."
}